“Electric Shaver Rechargeable Shaver Razor for Men” has been added to your cart. View cart
Sale!
Bestway Soft Top Air Mattress
Sh 159,000Original price was: Sh 159,000.Sh 129,000Current price is: Sh 129,000.
🛏️ Lalapo Popote kwa Starehe – Godoro la Hewa la Nyumbani & Camping!
Godoro hili la hewa linafaa kwa matumizi ya nyumbani na pia wakati wa kambi, milimani au matembezi ya asili. Hakuna tena kulala juu ya mawe au sakafu ngumu!
Godoro hili hujaa hewa ndani ya muda mfupi sana. Pia unaweza kulifuta hewa kwa haraka na kulihifadhi kirahisi.
Limetengenezwa kwa PVC yenye ubora wa juu na limefunikwa na kitambaa cha velveti kinachotoa faraja ya kipekee. Halichaniki kirahisi – tumia kwa miaka mingi!
Inafaa kwa nyumba, wageni wa dharura, safari za kambi, hiking, na hata ndani ya gari lako.